Check outAlphajiri's new single "EX WANGU," featuring Mr seed produced by Sean on the Beat! This upbeat track offers a refreshing take on breakups, as it tells the story of an ex-partner moving on with an older white man. Instead of bitterness, the song radiates positivity, wishing the ex well and praying for their happiness. With powerful vocals from Mr. Seed and dynamic energy from kenyan pop duo Alphajiri, "EX WANGU" is an infectious and uplifting addition to today's music scene. Listen now on all major streaming platforms!
Fully written and composed by Alphajiri
Performed by Alphajiri and @mrseed4
Produced by Sean on the beat
Mixed and Mastered by Sean on the video
The concept of the visualiser was created and directed by Lotus Inc and Sofly at True D studios
Make up by lulu
Stream on Spotify : https://open.spotify.com/album/22TVB3glWSaFonSkuwGS0H?si=Jh9Eq8PMSqmc0lRddu2guA
Follow Alphajiri on:
Twitter:  / alphajirim
Facebook:  / alphajirimuziki
Instagram:  / officialalphajiri
Email [email protected] for bookings
#Alphajiri #exwangu #mrseed
EX WANGU LYRICS
Ex wangu anadate mtu fake mtu sura mbaya aaah
Nlidhani ataniplay na baby face alipata sura mbaya aaah
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze *2
Aaah ndio maana hatujawai ona sura yake
Aah oh mama unaposti tu vidole vyake
Na si eti niko na roho mbaya
Si eti nko na ubaya
Sikutakii mabaya
Kwanza nakuombea maulana
Niliamini mapenzi yako baby
Nikikuitanga sherry
Lakini uliniacha upweke eeh
Ukaendea mubaba muzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze
Tena hakikisha umempima bp
Asipatwe na pressure presure
Mpeleke polepole baby mmh
jioni ikifika mtayarishe baby
Kabla akupe pesa pesa
Hakikisha umemueka dp
Na si eti niko na roho mbaya
Si eti nko na ubaya
Sikutakii mabaya
Kwanza nakuombea maulana
Ai we
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze *2
Woi muzungu mzee eh
Jamani muzungu mzee
Ai mzungu mzee eh
Ai muzungumzee
Woi muzungu mzee
Ooh mama muzungu mzee
Sijui nizungumze ama niweke picha mzungumzee eh eh
Ex wangu anadate mtu fake mtu sura mbaya aaah
Nlidhani ataniplay na baby face alipata sura mbaya aaah
Mr seed & Alphajiri Ex wangu
Fully written and composed by Alphajiri
Performed by Alphajiri and @mrseed4
Produced by Sean on the beat
Mixed and Mastered by Sean on the video
The concept of the visualiser was created and directed by Lotus Inc and Sofly at True D studios
Make up by lulu
Stream on Spotify : https://open.spotify.com/album/22TVB3glWSaFonSkuwGS0H?si=Jh9Eq8PMSqmc0lRddu2guA
Follow Alphajiri on:
Twitter:  / alphajirim
Facebook:  / alphajirimuziki
Instagram:  / officialalphajiri
Email [email protected] for bookings
#Alphajiri #exwangu #mrseed
EX WANGU LYRICS
Ex wangu anadate mtu fake mtu sura mbaya aaah
Nlidhani ataniplay na baby face alipata sura mbaya aaah
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze *2
Aaah ndio maana hatujawai ona sura yake
Aah oh mama unaposti tu vidole vyake
Na si eti niko na roho mbaya
Si eti nko na ubaya
Sikutakii mabaya
Kwanza nakuombea maulana
Niliamini mapenzi yako baby
Nikikuitanga sherry
Lakini uliniacha upweke eeh
Ukaendea mubaba muzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze
Tena hakikisha umempima bp
Asipatwe na pressure presure
Mpeleke polepole baby mmh
jioni ikifika mtayarishe baby
Kabla akupe pesa pesa
Hakikisha umemueka dp
Na si eti niko na roho mbaya
Si eti nko na ubaya
Sikutakii mabaya
Kwanza nakuombea maulana
Ai we
Kumbe mzungu mzee
Eti alipata mzungu mzee
Sijui nizungumuze
Ama niweke picha muzungumuze *2
Woi muzungu mzee eh
Jamani muzungu mzee
Ai mzungu mzee eh
Ai muzungumzee
Woi muzungu mzee
Ooh mama muzungu mzee
Sijui nizungumze ama niweke picha mzungumzee eh eh
Ex wangu anadate mtu fake mtu sura mbaya aaah
Nlidhani ataniplay na baby face alipata sura mbaya aaah
Mr seed & Alphajiri Ex wangu
- Category
- Rap

Be the first to comment