Eko Dydda - Can't You See (Unanipenda) (Official Video)

2 Views
Published
LYRICS

*CHORUS*

So can't you
See vile,
Na win si
Energy
(Mungu ungali unanipendaga hee) *2

So can't you
See vile,
Na win si
Energy
(Mungu ungali unanipendaga hee) *2

So can't you see
Vile na win
Si energy
Ni Elohim
(Mungu ungali unanipendaga hee )*2

*VERSE 1*

Lalalala life in abundance ,
Stevey na wonder
Kulaga soft life hadi maganda,
Life Cool Palmer hadi na ganda,
Zangu zimeraru ka Buju Banton,

Was a wannabe sai King yes I am,
Wakuwa wana ni know,
Wanani meseya,
Nawaleteya habari messenger,
Yesu ndo kikikiki KING MESSIAH,

Ooooh okay na heart na mouth hivo ndo me u do, (MESSIAH)
Magoti nikuabudu , (MESSIAH)
Tumbler si tag it along jo,(MESSIAH)
Kama si BABA I don't know,

I'm back like kikiki kisogo,
Nakanyaga mdogo,
Dj ni Daffy na MC ni Gogo,

Lolololo long, time nikiwa chachachacha church,
Follow lololo Kristo like chachachacha,

*CHORUS*

See vile,
Na win si
Energy
(Mungu ungali unanipendaga hee) *2


So can't you see
Vile na win
Si energy
Ni Elohim
(Mungu ungali unanipendaga hee )*2


So can't you see
Vile na win
Si energy
Ni Elohim
(Mungu ungali unanipendaga hee )*2

*VERSE 2*

Mumumumu Mungu lember,
Uno number,
Sheito zero aka nunger,
Niko chch chini ya YESU u...under,
Kauna come kwa YESU si umuok sooner,

Yesu KING uwezi coco compare,
Mzimbiting mzimbi zimbi Don nare,
Uwezi dare uwezi wezi jo dare,
President ana drop jaw Biden,

Hawawezi zima hii ssstar,
Siezi Ogopa Djs kama E-sssSir,
It's all about JESUS kama Eassster,
Anakushapre nisha andika mirisssta,

Pharisee na ana macho yaku see,
Fly unaeza tuita inzi,
Tumekafunga zaidi ya jela si,
Tumekafunga zaidi ya jejeje jealousy

*CHORUS*

So can't you
See vile,
Na win si
Energy
(Mungu ungali unanipendaga hee) *2

So can't you
See vile,
Na win si
Energy
(Mungu ungali unanipendaga hee) *2

So can't you see
Vile na win
Si energy
Ni Elohim
(Mungu ungali unanipendaga hee )*2

So can't you see
Vile na win
Si energy
Ni Elohim
(Mungu ungali unanipendaga hee )*2

Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channel/UCpsWoj5nDEimQCQhDpyOnEg/join

#EkoDydda
Category
Rap
Be the first to comment