Flame-G Yahudii ~ FOOL (Official music Video)

17 Views
Published
#fool #music #mtumakin1

Yahudii is a creative Thinker. Extrovert artist with ability to compose ✍️, Record and perform.
1) FOOL
Yeah

Video directed by Angelo Anslem

Visuals by @Recordon studios @RecordonStudio

Yahudii

((RockillersAfrica))

Nilishaona red flags ila nikapotezea
Nikajihisi kidume kwenye penzi nimebobea
Sikutaka ushauri utamu asali imekolea
Nikazama kisima kirefu siwezi ogelea
I swear nilipoteza muda kwa zile late calls
Nikaloose focus kisa your fake promises
Nikawatoka na rafiki ukawa my only choice
Kumbe nimeyakanyaga mjinga mi of course ////
I thank God uliniacha salama na,
maumivu naamini nitapona haraka
Japo, sio rahisi ila bado nang'ang'ana ,
Naenda race na maisha nazidi kupigana....
Niliamini mi na wewe mpaka siku ya karma
Nikajitoa ufahamu na familia tukagombana
Kisa penzi lako ety unanipenda Sanaa
Kumbe ni delila samsoni umeninyoa
Sina nguvu ya mapenzi siwezi kujiokoa
haukuona future na mimi, Sa!
ulinipa nafasi kwa nini ? Au!
ulitaka poteza wakati na mimi?
Sielewi! ulikuwa unamaanishaga nini?

ulinisifia sana nilivyo kufanyia
Napiga nyaya tano na ulifurahia
Ukasema mimi mwingine hutaki kumsikia
Leo umeruhusu nyambafu penzi kulivamia

Nimeamini hakuna chakudumu chini ya jua
Nilikuwa mdogo wa fikra sahivi nimekuwa
Nazidisha dua nisijisahau nizidi kutusua
maana mapenzi bila pesa hakika yanaua

Mjinga ni mimi, kuamini naweza kubadilisha
Mjinga ni mimi, kuamini ndo basi nimeshafikafika
Nikajiridhisha eti kunguru anafugika
Leo amenikomoa hadharani nimebaki nadhalilika!

Siwezi kutukana nitakuwa nakufuru
Shangazi alifunza kila kitu nishukuru
Nisijifunge, nafsi yangu niiweke huru
Kwenye giza itang'a itakuwa kama nuru

Ingawaa Kuta zinanizomea kila ninapopita
Maana Ulivyo niigizia umezidi na lupita
Ingelikuwa movie, Oscars ungeshinda
Punguza kunitag au block itahusika

Sina kovu naamini haukuwa fungu langu
Muda sahihi ukifika nitapata ubavu wangu
Atakae nipenda na kuthamini uwepo wang
Yani zaidi ya rafiki atakuwa ni pacha wangu

Sai Na Focus my life, nimeshamove on
Naishi kisela , umakini single boy
Niko salama en this is my last call
Nimejicut off kwa hiyo list ya convoy
Usinihusishe tena please leave me alone

VIDEO DIRECTED BY ANGELO ANSLEM
PRODUCTION CREW BY RECORDON STUDIOS

SPECIAL THANKS TO HEZZY GITHIOMI


MAIL Yahudii : [email protected]

FOLLOW ALL MY SOCIAL MEDIA HANDLES

Facebook: https://web.facebook.com/yahudiiMtuMakini1

Tik Tok: https://www.tiktok.com/@yahudii_

Instagram: https://www.instagram.com/yahudii_

Twitter: https://twitter.com/Yahudii_
Category
Rap
Be the first to comment