King Baganda - Panda

4 Views
Published
"Panda" by King Baganda | Official Audio
Kindly Subscribe: @kingBagandaTv
Stream: https://MusoniiMusic.lnk.to/juliana
#Panda #KingBaganda #MusoniMusic

Follow All Things King Baganda;
Spotify: https://spoti.fi/3S4oppA
Itunes: https://music.apple.com/us/artist/king-baganda/1721189879
Facebook:https://bit.ly/KingBagandaFacebook
Instagram:https://www.instagram.com/kingbaganda

Panda Lyrics;
Ayaya yaya yaya yayayaaaa
Chi Chi chi am the king oooo
Ayaya ya yayayaaaa yayaaaa
Aye ye ye yeeee

Ennnnn ennnn ennn
Aya ya aya ya yayayaaaaaa
Wapi. Ennnn ennn
Hiii weeee eeee eee mama weeee
Aya ya ya ya ya yaaaaaaa
Hiweeeeaaaa
Mpaka asubuii.

Tuna muziku na tuna mademu
Champagne na ma demu na mziki
Tuna muzziki na Tuna ma demu champagne ma selecter na muzziki.

E mama weeee eeee eee
Aiii aiiii aa

Aii aiii
king baganda hit tena weeee
Amapyano vibe unaiweza .
Ona jinsiwatu wako wana cheza .
ona watu club wako wana cheza aaa aaaa aaa.

Vibe ziki nishika sigaga dance sinaga dance si ndapanda juuu ya meza.
Am the king oooo
Na mshika Na mshika hata waiter na mshika sinaga dance nikilewa.
Am the king oooo
King baganda hit tena weee eeee aaaaaa

Mikono juuuu panda juuu ya meza
Weka kwa hukuta inama kama unalima.

Mikono juuuu panda juuuu ya meza
Panda kwa hukuta inama kama unalima.

Eee eeee emama weeeee eeeee
. Chofa mbele yani we songa mbele
Yani we Chofa mbele songambele
Huu mwaka tuna songa mbele
Haturudi nyuma kwenye party tuna chill
Dada
Hatuto zoom ...na ma demu na ma demu. Aaa aaaa

Mikono juuuu panda juuu ya meza
Weka kwa hukuta inama kama unalima.
Mikono juuuu panda juuuu ya meza
Weka kwa hukuta inama kama unalima.

Eee eeeee.
Tuna champagne na ma demu
Tuna chill na ma demu na ma demu.
Tuna champagne na ma weesky na ma bier tuna chill tuna chill

Aaaaa aaaaaa aaaaa.
Aya ya ya ya ya yaa
Mpaka asubuiii
Aya ya ya ya ya ya aaaaa
Mpaka kesho.
Ayaya ya ya yaaaaa
Aaa aaaa
Aya ya ya ha ya yaaaa
sisi ni wale watu ita walevi
Watu ita wakunyaji
Watu ita wachomaji
Powa thuuuu.

Sichaguwi jembe mi nikiwa ninalima
Hata kwa hukuta ukinipanda nita ota
Si chaguwi demu mi nikiwa nina cheza vibe ziki nishika si nita panda juuu ya
meza.
Wenzangu juuuu
Wakunyaji juuuu wachomaji juuu eeee
Wa kunyaj juuu. Eeee eee
Wachomaji juuuu panda juuu ya juuuu vibe zikinishika nita panda ju ya meza.

One for selecter too for my people tree for the girls in the night there are dancing.
Aya ya ya ya yaaaa
Aya ya yaaa
Mpaka asubuii
Aya ya ya aya mpla kesho
Aya ya ya ya yaaaaa
Ennn ennn
Mpaka asubuii


Panda 3 Piece;
https://drive.google.com/drive/folders/1uMR5eoMecdk9awgNcXbiWU982DDbYTxt?usp=sharing
Category
Rap
Be the first to comment