Misher Mc - BEST RAPPER (Official Music Audio)

17 Views
Published
Nakukaribisha kusikiliza wimbo huu ewe ndugu, jamaa, rafiki na mwana-familia wa Bongo flava & Bongo Hip hop; Bila shaka utafurahia uandishi wangu, flow zangu, mdundo na mixing bomba kabisa kutoka kwa mwandaaji wangu mahili @untouchablepro8943 .
Ni ruksa kushare ili watu wengine pia waweze kuipata kazi hii bora kabisa, Pia usiache ku comment (Comment chochote kile unawish kucomment, chenye kujenga lakini) mwisho kabisa usisahau ku-subscribe channel yangu ili uweze kupata notification kila ninapoachia kazi. WABHEJA SANA????

Enjoy Good Music from Vibe Records ????
And Good Music from Misher Mc.

#ihaleBeachNdaniYaNGOMJE????
Category
Rap
Be the first to comment