VERSE 1
Na je huu ndio mwanzo wangu,
Ama ndio mwisho wangu
Na je hili ndio pito langu
Ama ni ushindi wangu
Sielewi
Maana kila siku
Vita ni kuu
Akili yangu yakosa pumziko
Tena moyo wangu umenyimwa urafiki
Na mazingira
Sasa nimwone nani, nimwone nani nimweleze nani,
Maana kifuani pamejawa na mzani
Mazingira mazingira hayanipi tumaini
Ila kuna sauti ya upole inanijia ikisema
CHORUS
Wala usijali, wala usijali
Wala usijali, unaweza anza tena unaweza ng'ara tena
Wala usijali, wala usijali, wala usijali,
Unaweza anza tena, unaweza ng'ara
tena
VERSE 2
Na hata rafiki, jamaa ndugu niliowaamini sana
Kuja tazama ghafla mbona siwaoni mara
Na kale kamtaji nilikojikusanya
Kufanyia biashara
Naja tazama tazama kote kamedorora tena
Na hata imani niliyokuwa nayo siku zile kabla
Nikitazama kila siku inazidi kuwa hafifu
Mwenendo wangu mbona naona kama si imara tena
Zaidi ya jangwa niko peke yangu sioni mwangaza
Sasa nimwone nani, nimwone nani nimweleze nani,
Maana kifuani pamejawa na mzani
Mazingira mazingira hayanipi tumaini
Ila kuna sauti ya upole inanijia ikisema
CHORUS
Wala usijali, wala usijali
Wala usijali, unaweza anza tena unaweza amka tena
Usijali
Wala usijali (iko siku utasimama tena)
wala usijali, (ameandika jambo jema maulana)
wala usijali,
Unaweza anza tena, unaweza ng'ara
tena
Unaweza ng'ara tena
Simama imara
Wala usijali
pambana na maadui wanaokuombea mabaya
Wala usijali
Aonaye amekuona yuko juu atakuinua
Wala usijali
Unaweza anza tena
Unaweza amka tena
Simama imara
Wala usijali (pambana tena)
Wala usijali
Siku yako inakuja imeandikwa
Wala usijali (chozi lako linaonekana)
Unaweza anza tena, unaweza ng'ara tena
Hata kama umefiwa na mume au mke simama tena,
Usivunjike moyo
Wala usijali
Aliyemchukua anakuona
Wala usijali( na atakusimamia)
Usijali anza tena
Wala usijali
Unaweza anza tena unaweza amka tena
Wala usijali, unaweza anza tena, unaweza inuka tena.

- Category
- Jazz

Be the first to comment