Deni Limelipwa EP Track 3: Frida Rottson - Deni Limelipwa (Official Music Video)
Frida Rottson presents his brand new EP titled “Demi Limelipwa”.
Listen to Deni Limepwa EP here: https://www.youtube.com/watch?v=lOP1oyeebtk&list=PLHe0WJflzncqM4te8xaZuz-rQ5SftPyy3
Frida Rottson - Deni Limelipwa (Tracklist)
1. Frida Rottson - Napendwa
2. Frida Rottson - Ninakupenda
3. Frida Rottson -Deni limelipwa
4. Frida Rottson - Brand New
Follow Frida Rottson
Instagram: https://www.instagram.com/frida_rottson/
YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCL2GHWDXkHmmgujn7C-GD2Q
Branding and Marketing Services by:
Mavin Murithi: https://www.instagram.com/thisismavin/
Frida Rottson - Deni Limelipwa Lyrics
SISI HATUMO MIONGONI MWA WATESWAO ,WALA HATUMO MIONGONI MWAO, WALA MSITUTAFUTE HUKO TUMESHA KOMBOLEWA SISI HATUMO MIONGONI MWAO,,
TENA HATUMO MIONGONI MWA WALIAOO,,MAANA YESU AMESHA TUTOA KULE,WALA MSITUTAFUTE HUKO,TUMESHA KOMBOLEWA,SISI HATUMO,MIONGONI MWAO,,
(Deni limelipwa,sisi tukombolewe
Hati ya dhambi imeaondolewa
Sisi tuwekwe huru
Wala msitutafute huko,tumesha kombolewa, wala hatumo miongoni mwao x2
WENGI MAADUI WALITAMANI TUANGAMIE,WALIPO FAHAMU TUNA HATIMA KUBWA,CHETU KIDOGO WALIKIBEBA,WAKITUACHA TUFENANJAA,LAKINI YESU AMETUPA MKATE, WALITUKUSANYA KAMA MASUKE SUKE,SHAMBANI WATUTEKETEZE KWA MOTO,WALITUACHA KTK MOTO,YESU AKA TUKUMBATIA,TUMETOKA TUKIWA SALAMA, HAWAJUI SISI NI WALE TULIO PIGANIWA NA BWANA,HATA TUANGUKE TUNASIMAMA TENA,HATUOGOPI MAJARIBU,MANA YUPO UPANDE WETU,TUNAVUKA,TUKIWASALAMA
Deni limelipwa ,sisi tukombolewe
Hatia ya dhambi imeondolewa,sisi tuwekwe huru,wala msitutafute huko ,tumesha kombolewa,wala hatumo miongoni mwao x2
Mpango wa Mungu amepanga sote tuwe na uzima wa milele ,,Ila Shetani anapanga tuwe kaburini ,,,aaaah!!! YESUU ange tutoa kule,ili tusiteketee,,wala hatumo miongoni mwao,
Mimi na wewe tumepangiwa tupate maombi ya Dunian,aaaah!!!
Ila shetani anapenda tuwe masikini aaah!!
YESUU ange tutoa huko wala tusiteke tee, walahatumo miongoni mwao!!
[Deni limelipwa sisi tukombolewe,,
Hatia ya dhambi imeondolewa,,
Sisi tuwekwe huru,,, wala msitutafute huko,, tumesha kombolewa,, wala hatumo ,,miongoni mwao!!!x2],,,,,
#FridaRottson #DeniLimelipwa #DeniLimelipwaEP

- Category
- Jazz

Be the first to comment