Frida Rottson - Ninakupenda (Official Music Video)

13 Views
Published
Deni Limelipwa Track 2: Frida Rottson - Ninakupenda (Official Music Video)

Frida Rottson presents her brand new EP titled “Deni Limelipwa”.

This a wonderful song to play with your friends this Valentine's and Kwaresma season. Enjoy sweet wedding vibes on your way to church with your happy and healthy family,.... in preparation for your prayers and in your everyday life.

God bless you

Listen to Deni Limepwa EP here: https://www.youtube.com/watch?v=lOP1oyeebtk&list=PLHe0WJflzncqM4te8xaZuz-rQ5SftPyy3

Frida Rottson - Deni Limelipwa (Tracklist)

1. Frida Rottson - Napendwa
2. Frida Rottson - Ninakupenda
3. Frida Rottson - Deni Limelipwa
4. Frida Rottson - Brand New

Follow Frida Rottson

Instagram: https://www.instagram.com/frida_rottson/

YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCL2GHWDXkHmmgujn7C-GD2Q


Branding and Marketing Services by:

Mavin Murithi: https://www.instagram.com/thisismavin/




Frida Rottson - Ninakupenda Lyrics


Kaona sio vyema niwe peke yangu

Akakuumba wewe

Ubavu wangu ili tufanane

Hii safari aliona ni ndefu

Amekuleta wewe eh

Maishani mwangu tusaidane

Kweli Mungu hakupi unachoomba

Anakupa unachostahili

Amenipa wewe mwandani wangu

Yani siamini naona kama naota

Imetimia siku yetu ya harusi

Moyo umejawa furaha natokwa na machozi

Karibu kwenye familia yetu

Huyu ni baba yangu

Huyu ni mama yangu

Wasalimu kidogo

Nina makaka na dada

Nina wajomba ,shangazi

Karibu pia na wewe tuongeze familia

Wacha nikung’ate kasikio kidogo

Wanasema unatabia nzuri my baby

Acha na yote hayo wewe hauna baya

Chorus

Nafungua moyo wangu ninakupa wewe

Kipenzi changu

Ninakupendaaa

Na leo mbele ya mashahidi nahaidi kwamba

Nitakupendaa

Mimi na familia kwa furaha tunakukaribisha

Tunakupenda

I love you

I love you

I love you

I love you

I love you

We love you

Ninakupenda

I love you

I love you

I love you

I love you

I love you

We love you

Ninakukupenda

Verse 2

Tuwe wepesi wa msamaha

Tunapokoseana

Hakuna mwanadamu mkamilifu kwenye hii dunia

Vya kwetu tuvipandishe thamani

Tusivitamani kwa wengine

Kidogo kikubwa chetu

Tumshukuru mungu

Tukate keki watu waone

Kuwa ishara ya upendo

Dj ongeza mziki kidogo

Watu wa sherekee

Namuona bibi

Namuona babu

Nawaona na wanafiki

Naiona kamati fungua shampeni

Tufurahi na marafiki

Yani siamini naona kama naota

Imetimia siku yetu ya harusi

Moyo umejawa furaha natokwa na machozi

Karibu kwenye familia yetu

Huyu ni baba yangu

Huyu ni mama yangu

Wasalimu kidogo

Nina makaka na dada

Nina wajomba ,shangazi

Karibu pia na wewe tuongeze familia

Wacha nikung’ate kasikio kidogo

Wanasema unatabia nzuri my baby

Acha na yote hayo wewe hauna baya

Chorus

Nafungua moyo wangu ninakupa wewe

Kipenzi changu

Ninakupendaaa

Na leo mbele ya mashahidi nahaidi kwamba

Nitakupendaa

Mimi na familia kwa furaha tunakukaribisha

Tunakupenda

I love you

I love you

I love you

I love you

I love you

We love you

Ninakupenda

I love you

I love you

I love you

I love you

I love you

We love you

Ninakukupenda


#FridaRottson #Ninakupenda #DeniLimelipwaEP
Category
Jazz
Be the first to comment